Usaidizi:Jinsi ya kusanikisha fonti

From mediawiki.org
This page is a translated version of the page Help:How to install fonts and the translation is 89% complete.
Outdated translations are marked like this.
PD Kumbuka: ukifanya mabadiliko kwenye ukurasa huu, umekubali kutoa mchango wako chini ya kifungu CC0. Tazama Kurasa za Msaada wa Kikoa cha Umma kwa habari zaidi. PD

Ukurasa huu unasaidia kusanikisha fonti iliyopakuliwa katika kompyuta yako mwenyewe.Ikilinagan na mfumo uendeshaji wako na toleo lake, fuata maagizo yaliyotolewa hapa chini.

Windows

Windows XP

  1. Funga programu tumizi zote.
  2. Nakili fonti ulizopakua kwa C:\Windows\Fonts folder

Windows Vista and Windows 7

  1. Funga programu tumizi zote.
  2. Bofya-kulia faili za fonti zitakazosanikishwa
  3. Menyu dukizo itatokeza, chagua>Install.

Linux

GNOME

  1. Fungua fonti ukitumia programu ya kutazama fonti
  2. Bofya kitufe cha sanikisha cha programu ya kutazama fonti

KDE

  1. Fungua fonti ukitumia programu ya kutazama fonti
  2. Bofya kitufe cha sanikisha cha programu ya kutazama fonti

Sanikisha kwa watumiaji wote

  1. hifadhi fonti kwenye folda tofauti. Kwa mfano: "Downloads/fonti".
  2. Fungua terminal na uendeshe amri hiyo
sudo cp -R ~/Downloads/fonts /usr/share/fonts

Mac OS X

  1. kokota na dondosha faili zilzochaguliwa katika maktaba ya folda ya fonti

Mac OS 10.3 ama toleo za baadaye

  1. Bofya mara mbili faili ya fonti ili kufungua ukitumia FontBook.
  2. Kusanikisha kwa ajili yako pekee yake: Bofya>Kitufe cha snaikisha
  3. Ili kusnaikisha kwa ajili ya watumiaji wote:cahagua>mapendeleo na mabadiliko>Chaguo msingi la kusanikisha kutoka "mtumiaji" hadi "Kompyuta". Alafu bonyeza>Kitufe cha sanikisha fonti.