Fréttinga

From mediawiki.org
This page is a translated version of the page Fréttinga and the translation is 100% complete.
Mtazamo wa Fréttinga

Fréttinga ni boma ndogo ambayo iko Mungoland inayopatikana BaMungo Island. Ina watu karibu 400. Kuna Kilimo na uvuvi na watalii hutembelea wakati wa jua. Ina fukwe nzuri zilizo na seagulls.

Huduma

Haina huduma nyingi. Kuna duka na feri inatembelea kisiwa hicho mara moja kwa siku.

Mnamo Januari 2009, paa la kanisa iliyoko kwenye kisiwa ilianguka Watu waliijenga pamoja msimu wa jua iliyofuata

Matukio kuu

  • paa la kanisa iliyoko kwenye kisiwa ilianguka 2009
  • Kanisa mpya ilijengwa mwaka wa 1877